Kama sikosei ni tarehe 18 mwezi huu, Mikia fc wametoa ahadi kuwa watatushangilia maana yana visa na wale jamaa
Kipindi cha Dalali timu haikuwa na tatizo uwanjani, tatizo tu alikuwa ameishia la saba. Alimaliza kipindi chake cha uongozi ndo baadaye akaingia Rage.
Yanga 3 juma abdul
hivi kavumbagu anacheza leo kwa upande wa azam? maana naona mwenzake anazidi kupeta tu kwenye mbio Za kiatu cha dhahabu
Yanga 3 juma abdul
Yanga 3 juma abdul
Yanga 3 juma abdul
Kavumbagu ana kadi tatu za njano hivyo leo hachezi...
Haya ndio maneno...teh teh teh!!!
Huku upande wa pili Azam kabanwa mno na MCC
Mkuu mwaka wenu huu, maana kati ya mechi ngumu kwenu ilikuwa ni pamoja na hii lakini inavyoonekana imekuwa rahisi sana. Mkiwafunga na Azam basi ubingwa wenu.Kumbe!! Atakuwa kashamaliza form four...mrudishen, sisi twafurahia magoli ya TAMBWE tu Leo...Chamanzi vp huko?
Si achague mechi kama jibu
Aisee...umenifurahsha! basi TAMBWE ana bahati, kaenda kuboresha kiwango chake kwny timu inayoshiriki kwny michuano ya kimataifa...ajabu ni kuwa waliomuona kiwango kidogo ni "wa hapa hapa"!
ukiangalia kwenye post yangu hiyo title nimeandika kwa wanaobet wampe Yanga ushindi na 3+, yametokea kweli. Ukitaka pia nikutabilie mechi za kubet leo ni PM nikutumie lakini kwa maelewano maalumu, nitakutoza buku 5 kwa mkeka wa mechi 6