KUKU-DUME
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 474
- 196
Kama sikosei ni tarehe 18 mwezi huu, Mikia fc wametoa ahadi kuwa watatushangilia maana yana visa na wale jamaa
hatuwataki watuachie kitoweo chetu kama kilivyo jilengesha...wambie wakanunue tu jezi za hao majambazi..alie wadhurumu ni maharage sio hao jamaa