Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kavumbagu ana kadi tatu za njano hivyo leo hachezi...
half time azam vs MCC bila bila
Si achague mechi kama jibu
Na wa hapa hapa ndio tulio mtoa huko kwao kumleta hapa hapa lol
Hao MCC wakitaka watufurahshe zaidi wapige hata kimoja tu..tuwape baraka za kutoshuka daraja.
Uwezekano wa Azam kufungwa upo...
MCC wametawala sana mchezo hasa katikati ya uwanja...
Na iwe hvyo mkuu
Nadhani Mbeya City na Coastal Union hawataniangusha.
Hawa wagonga nyundo wa jiji la Mbeya usiwape kiwanja kizuri wanakufanya vibaya, kama muongo uwaulize mikia fc walichofanyiwa uwanja wa taifa, pia mwaka jana hapo chamazi kidogo Azam agongwe lakini mpira ukaisha 3 -3Uwezekano wa Azam kufungwa upo...
MCC wametawala sana mchezo hasa katikati ya uwanja...
na ibaki hivyo hivyo hadi FT...wote tuseme amina!!!!
Toka lini ukaumia kwa mke uliye muacha, Simba hatukumuacha Tambwe ili huko kwingine asiende kufunga hapana tulimuacha akaboreshe kiwango chake.
Na iwe hvyo mkuu
Wewe hujawahi kuacha mke umpendaye, wivu uko pale pale. Ni marajio ya mume amwachaye mkewe aende huko akateseke, huyo mke akianza kufanikiwa lazima mume wa zamani itaanza kumuuma sana.
Simba iliingia chaka kumwacha Tambwe ikiamini kuwa Andunje (Dan Sserunkuma) angewatoa kimasomaso. Simba ikubali makosa.