VPL: Azam FC Vs Simba SC Disemba 12, 2015

Sioni namna Azam iambapitashinda leo. Huo ndio ukweli Simba ni bora sana hapa bongo, masuala ya Admin tu nje ya uwanja yanaleta usumbufu
 
ila usimsahau farid musa kessy leo atalala na viatu na akitoka bila kadi nakupa buku tano
 
Sioni namna Azam iambapitashinda leo. Huo ndio ukweli Simba ni bora sana hapa bongo, masuala ya Admin tu nje ya uwanja yanaleta usumbufu
kwani hapo kwenye nyekundu ungeandika kiswahili kingeharibika nn?
 
Sioni namna Azam iambapitashinda leo. Huo ndio ukweli Simba ni bora sana hapa bongo, masuala ya Admin tu nje ya uwanja yanaleta usumbufu

Tusubiri baada ya dakika 90
 
Azam piga simba goli mbili warudi kunywa kahawa
 
Back
Top Bottom