Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #21
Simba nguvu moja.All the best kwa mnyama. Tuanze kubeba point...biashara asubuhi
Jion tutakuwa CAF Champions League.
Ataanzia wapi ?!Ihefu piga hao warembo fc
Kwa kuwakimbiza hadi ulimi uwatoke hao vikongwe waremboAtaanzia wapi ?!
Yanga mtuache,mboma mnazengwe sana nyinyi?Barbara FC..
Ihefu piga hao warembo fc
Yanga wana Viherehere.Yanga mtuache,mboma mnazengwe sana nyinyi?
MapemaTayari
Ihefu FC 0 - Simba SC 1
Leo ?!Boko anagoli 3,Mirosson 2,
Ndio ndio mkuuMapema
DaaahWayaaaaaaaaaaaasss
Ihefu 1 - 1 Simba