VPL: Ihefu FC 1-2 Simba SC Sokoine, Mbeya

VPL: Ihefu FC 1-2 Simba SC Sokoine, Mbeya

Refa kakataa Goli la Ihefu but kwa mtazamo wangu haikuwa Offside

Mimi nimefurahi coz ni Faida kwetu
Marefa wameanza walipoishia msimu uliopita. Naona kutafsiri sheria ya offside inawapa shida sana
 
Mbumbumbu fc nikawaida Yao kubebwa, aliyefunga Goli kafanya juhudi kubwa, lakini pesa imefanya juhudi kubwa zaidi. Simba bila kubebwa hamna kitu.
Hata ninyi mlibebwa na Malinzi
 
HT: Niliyoyabaini kwa Mnyama

- Neither organization nor community kwenye backline, they're accident waiting to happen
- HD na Mzamiru not fit to start the game
- Chama ni mzuri lakini ndiyo our weakest point kwenye kupoteza mipira
- Zimbwe Jr. anapanda na timu then anajisahau kurudi na kutusababishia unnecessary attacks

Hivyo:
- Mique
- Wawa
- Fraga
Wanahirajika before too late
 
Back
Top Bottom