Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,237
Wasije kulaumiana kwamba utajinyonga au utajisaidia barabarani mchana jua kali?Mechi ya kwanza mnabebwa hakuna offside..TFF nilishasema tusije kulaumiana wananchi hatukubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasije kulaumiana kwamba utajinyonga au utajisaidia barabarani mchana jua kali?Mechi ya kwanza mnabebwa hakuna offside..TFF nilishasema tusije kulaumiana wananchi hatukubali
Lia sana tuu tunaongoza gemu 1 hadi gemu 34Mbumbumbu fc nikawaida Yao kubebwa, aliyefunga Goli kafanya juhudi kubwa, lakini pesa imefanya juhudi kubwa zaidi. Simba bila kubebwa hamna kitu.
Hao uliotaja hawapo hata subHT: Niliyoyabaini kwa Mnyama
- Neither organization nor community kwenye backline, they're accident waiting to happen
- HD na Mzamiru not fit to start the game
- Chama ni mzuri lakini ndiyo our weakest point kwenye kupoteza mipira
- Zimbwe Jr. anapanda na timu then anajisahau kurudi na kutusababishia unnecessary attacks
Hivyo:
- Mique
- Wawa
- Fraga
Wanahirajika before too late
Mbumbumbu fc nikawaida Yao kubebwa, aliyefunga Goli kafanya juhudi kubwa, lakini pesa imefanya juhudi kubwa zaidi. Simba bila kubebwa hamna kitu.
Hao uliotaja hawapo hata sub
Yameanza kubwebwaTumshukuru kibendera lile ni clear Goal Ihefu wamenyimwa...
Poor performance kwa Simba.
Mechi ya kwanza mnabebwa hakuna offside..TFF nilishasema tusije kulaumiana wananchi hatukubali
Mbumbumbu fc nikawaida Yao kubebwa, aliyefunga Goli kafanya juhudi kubwa, lakini pesa imefanya juhudi kubwa zaidi. Simba bila kubebwa hamna kitu.
HakikaaaaaTumeziona juhudi za refa goli la wazi kabisa limekataliwa.
Sasa basii hii ligi msimu huu haitaishaaaaMechi ya kwanza mnabebwa hakuna offside..TFF nilishasema tusije kulaumiana wananchi hatukubali
Sasa basii hii ligi msimu huu haitaishaaaa
Unalialia kweliSasa basii hii ligi msimu huu haitaishaaaa
Hakika Kocha Luc hakukosea kuwaita Manyani, Sokwe Mbwa FC maana siyo kwa mishadadio hiyoBabu Onyango katika kutaka kuokoa mpira ukampiga tobo mtu kaweka kambani refa kakataa , jamani mbumbumbu fc/shikamoo fc mkiambiwa wazeee msibishe.
Kumbe leo mnabebwa sioMmesahau mlivyobebwa msimu uliopita?
Uliwahi kuona wapi kitu kinachoitwa goalconner
Huyu kocha ana matatizo ambayo sijawahi onna yamefanyiwa kazi. Unacheza na Ihefu na Mshambuliaji 1 je ukicheza na Township Rollers uchezeje? Poor approach kishingo wetu ni kama anabwebwa na vipaji vya wachezaji tu.HT: Niliyoyabaini kwa Mnyama
- Neither organization nor community kwenye backline, they're accident waiting to happen
- HD na Mzamiru not fit to start the game
- Chama ni mzuri lakini ndiyo our weakest point kwenye kupoteza mipira
- Zimbwe Jr. anapanda na timu then anajisahau kurudi na kutusababishia unnecessary attacks
Hivyo:
- Mique
- Wawa
- Fraga
Wanahirajika before too late
Kwa mujibu wa Utopolo aka Malalamiko FCKumbe leo mnabebwa sio