VPL: Ihefu FC 1-2 Simba SC Sokoine, Mbeya

VPL: Ihefu FC 1-2 Simba SC Sokoine, Mbeya

Barbara fc mmeshaanza kubebwa mapemaa na marefa wenu mliowasajili msimu huu
Mama_e nenda kaugulie maumivu ya Prison, mnashinda kujadili inshu za Simba mwishowe mnaaambulia sare, malalamiko FC ni sikio la kufa. Heko Prison, pamoja na Vigisu za Red Card lkn mmewatoa povu Kisinda, Mukoko, Sarpong, Sogne na Shikhalo. Hongeren Watoto wa Tziee kwa kuonyesha ubovu wa Maprooo Uchwara
 
Unatoka povu umeandika mashudu matupu kwa kutumia nguvu kubwa sana

Hii ni mechi ya kwanza katika ligi na kikosi kina wageni ulitegemea mechi ingekuwa rahisi?
 
Simba wanabebwa kama watoto, hii timu inatakiwa ifungiwe, pumbavu sana wanaharibu ladha ya soka
 
Kama isingekuwa kwa bad officiating of the game, haya ndiyo yangekuwa matokeo halisi ya mchezo. Goli la Ihefu lilikataliwa lilikuwa ni goli halali na vilevile goli la Simba lililofungwa na Kagere lilikuwa ni goli halali pia. Hivyo, bado ushindi ungekuwa kwa Simba.

Mshika kobendera yule aliyekataa magoli hayo mawili ya wazi aondolewe kwani kazi hiyo imemshinda au apewe mafunzo zaidi.
 
Unatoka povu umeandika mashudu matupu kwa kutumia nguvu kubwa sana

Hii ni mechi ya kwanza katika ligi na kikosi kina wageni ulitegemea mechi ingekuwa rahisi?
Kwani mwanzoni ulikuwa ujui?kwanini ulikuwa unajimwambafai na team yako?
 
Kama isingekuwa kwa bad officiating of the game, haya ndiyo yangekuwa matokeo halisi ya mchezo.
Goli la Ihefu lilikataliwa lilikuwa ni goli halali na vilevile goli la Simba lililofungwa na Kagere lilikuwa ni goli halali pia. Hivyo, bado ushindi ungekuwa kwa Simba.
Mshika kobendera yule aliyekataa magoli hayo mawili ya wazi aondolewe kwani kazi hiyo imemshinda au apewe mafunzo zaidi.
unaweza ukasema hvyo lakini lazma ujue kama goli la ihefu lingekubaliwa huwenda ihefu wangecheza kwa juhudi zaid kulinda point yao moja ambayo wangeweza kuipata na mechi kuishia 2*2 au kupata goli la tatu au Simba wangechamka zaidi na huwenda wangefunga said ya magoli mawili tena.

Kwahyo sikuzote timu kunyimwa goli la mapema huwa linawatoa mchezoni sana. Siwez kusema Simba kahonga ila waamuzi wawe makini ili ligi iwe nzuri na timu ishinde kihalali
 
Back
Top Bottom