VPL: Ihefu FC 1-2 Simba SC Sokoine, Mbeya

VPL: Ihefu FC 1-2 Simba SC Sokoine, Mbeya

Warembo fc bila mbeleko hawashindi
FB_IMG_15994040043662888.jpg
 
Kwani VPL mlimfunga Yanga??wasaliti wote wamefukuzwa subiri kazi..
Weweeee tema mate chini Bw.mdogo, Lamine Moro, Makame, Kaseke, Metacha woote hao walikuja mjini kwa Nauli za Msimbazi ujue lazima waishi kwa kulipa fadhira hapo nimekupa kiduchu tu au unataka mpaka tuweke namba zao hapa!
 
Mlete baba yako aje afundishe. Sio kaz nyepec km kula Ugali na mandondo

Wapumbavu wapo wametawanyika Dunia Nzima kimkakati huwezi kukaa kutwa moja bila ya kukutana nao japo wawili.

Tayari mmoja ni huyu.
 
Naona wanenda KUCHEZA ndani ya magofu ya uwanja.

Toka nyerere upo vilevile uwanja wa sokoine tena umekaaa kushoto.

Why wasiulete uwanja wa ndege wa zamani.

Any way WATANI ZANGU KILA la KHERI.
Sure inatakiwa ushauri wako ufanyiwe kazi afu pale pana asil ya chemchem mvuakidogo uwanja hauchezek
 
Niseme ukweli jamani, kwa kikosi kilichopo;
Kennedy Juma
Mzamiru
Dilunga hawapaswi kuanza kikosi cha kwanza kwa sasa pale Simba hata kwa Uchawi lkn benchi letu sjui wanajaribu kitu gani.
Yote kwa yote ushindi ni muhimu Simba nguvu moja Daima
Uko sahihi kabisa mkuu....na hao ndio wamefanya hata mechi ya leo ionekane ngumu...hakukuwa vizuri sana upande wa kiungo...fraga...luisi Nickson...
Kahata...bwalya.... Wawa...leo tunewamisi Sana...Pongezi nyingi kwa Manula.
 
Back
Top Bottom