tusimlaum kocha ihefu ni wazuriSimba hamna kocha hapa
Kishingo ni Mtalii tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tusimlaum kocha ihefu ni wazuriSimba hamna kocha hapa
Kishingo ni Mtalii tu
Mlete baba yako aje afundishe. Sio kaz nyepec km kula Ugali na mandondoHamna kitu pale
Kwa hiyo inashindikana vipi kuongea na waliopo sasa?Match fixing..mliongea na wachezaji wa Yanga ..watu hadi simu wamerekodi wanaona ujinga ndio maana Yondani na Abdul wameachwa maduka
Last season kafka wap?Kishingo mzito sana kufanya sub, sijui atatufikisha wap..
Huyu kocha bado sana, tutapata shida kimataifa hakika.Last season kafka wap?
Kwani VPL mlimfunga Yanga??wasaliti wote wamefukuzwa subiri kazi..Kwa hiyo inashindikana vipi kuongea na waliopo sasa?
Weweeee tema mate chini Bw.mdogo, Lamine Moro, Makame, Kaseke, Metacha woote hao walikuja mjini kwa Nauli za Msimbazi ujue lazima waishi kwa kulipa fadhira hapo nimekupa kiduchu tu au unataka mpaka tuweke namba zao hapa!Kwani VPL mlimfunga Yanga??wasaliti wote wamefukuzwa subiri kazi..
Lete yà mnyamaWarembo fc bila mbeleko hawashindiView attachment 1560802
Mlete baba yako aje afundishe. Sio kaz nyepec km kula Ugali na mandondo
Match fixing..mliongea na wachezaji wa Yanga ..watu hadi simu wamerekodi wanaona ujinga ndio maana Yondani na Abdul wameachwa maduka
Zile 4-1 za kishingo hazikukutosha!
Last season kafka wap?
Sure inatakiwa ushauri wako ufanyiwe kazi afu pale pana asil ya chemchem mvuakidogo uwanja hauchezekNaona wanenda KUCHEZA ndani ya magofu ya uwanja.
Toka nyerere upo vilevile uwanja wa sokoine tena umekaaa kushoto.
Why wasiulete uwanja wa ndege wa zamani.
Any way WATANI ZANGU KILA la KHERI.
Uko sahihi kabisa mkuu....na hao ndio wamefanya hata mechi ya leo ionekane ngumu...hakukuwa vizuri sana upande wa kiungo...fraga...luisi Nickson...Niseme ukweli jamani, kwa kikosi kilichopo;
Kennedy Juma
Mzamiru
Dilunga hawapaswi kuanza kikosi cha kwanza kwa sasa pale Simba hata kwa Uchawi lkn benchi letu sjui wanajaribu kitu gani.
Yote kwa yote ushindi ni muhimu Simba nguvu moja Daima
Ila alivyokataa la Simba hujaona?!Linemen kakataa goli la ihefu yaani wangeenda halftime 2 kwa 2 yaani wameanza mapema kuwabeba mikia fc .sijui wanatumwa
Sababu, sababu, sababu andaa na zingine maana utahitajika utoe sababu mara nyingiKwani VPL mlimfunga Yanga??wasaliti wote wamefukuzwa subiri kazi..
Yaani, kwamba hajafungwa Yanga.Sababu, sababu, sababu andaa na zingine maana utahitajika utoe sababu mara nyingi
Warembo fc bila mbeleko hawashindiView attachment 1560802
La kagere vipi hujaona?Linemen kakataa goli la ihefu yaani wangeenda halftime 2 kwa 2 yaani wameanza mapema kuwabeba mikia fc .sijui wanatumwa