VPL : Kagera Sugar Vs Young Africans

Kanunuliwa shilingi ngapi? Ushahidi unao? Umeripoti takukuru au kwenye chombo chochote cha sheria?

Kama hauna na hujafanya hayo yote Basi HUNA TOFAUTI NA MWANAMKE MMBEYA TENA PASHKUNA LA HAJA

Mkuu achana nao hawa Mbumbumbu fc hofu ishaanza kuwaingia,kushinda washinde wao akishinda Yanga kabebwa au kanunua match.
 
Golikipa Shariff wa Mtibwa hana tofauti na Martin Saanya, kapigwa Pensheni na amefanya mbwai mbwai tu!
 
45' Mins | Kagera Sugar 1 - 3 YoungAfricans

03' Mbaraka Yusuph (Kagera Sugar)
05' Donald Ngoma (Young African)
21' Simon Msuva. (Young African)
26' Obrey Chirwa ( Young African)
 
Golikipa Shariff wa Mtibwa hana tofauti na Martin Saanya, kapigwa Pensheni na amefanya mbwai mbwai tu!

Duh kweli hamjiamini,si juzi tuu hapa mlikuwa mnajitapa kuwa nyie ni mabingwa mnasubiri kupewa Kombe tuu na sisi tukawaambia ligi bado mbichi sana mkabisha.
 
HALF TIME | Kagera Sugar 1 - 3 YoungAfricans

03' Mbaraka Yusuph (Kagera Sugar)
05' Donald Ngoma (Young African)
21' Simon Msuva. (Young African)
26' Obrey Chirwa ( Young African)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…