Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Full Time | Kagera Sugar 2 - 6 YoungAfricans
90' Mins | sasa, hakuna kipya, timu zinaonyesha kucheza zaidi katikati ya uwanja, Yanga wakiwa wameridhika huku Kagera wakionekana kuwa wamekata tamaa
87' Mins | mpira wa kurusha wa Twite, Tambwe anagonga kichwa lakini Babu Ally anaokoa
78' Mins |Matheo Anthony anaingia kuchukua nafasi ya Kaseke
77' Mins | Amissi Tambwe anaingia upande wa Yanga kuchukua nafasi ya Obey Chirwa
73' Mins | Ngoma anaifungia Yanga bao la sita, ameunganisha pasi ya MSuva baada ya kumzidi kasi Kavila
63' Mins | GOOOOOO Chirwa anafunga bao la tano kwa Yanga, la pili kwake baada ya Ngoma kuuwahi mpira wa Juma Ramadhani aliyemrudishia kipa, lakini kipa Burhani akaokoa, mpira ukamkuta Chirwa ambaye amemlamba chenga na kupachika wavuni kwa mguu wa kushoto safi kabisa
57' Mins | GOOOOOOO Kaseke anafunga bao kwa shuti kali kabisa akiunganisha pasi nzuri ya MSuva aliyegongeana vizuri na Niyonzima
56' Mins | beki Juma ramadhani anafanya kazi ya ziada kuokoa mpira mzuri wa Niyonzima langoni mwake
55' Mins | krosi nzuri ya Niyonzima, Msuva akiwa katika nafasi nzuri lakini anashindwa kulenga. Beki wa kati wa Kagera wanaonekana kama kuzubaa hivi
54' Mins| Mbuyu Twite anaingia kuchukua nafasi ya Kessy ambaye ameumia
52' Mins | Kessy wa Yanga yuko chini akipatiwa matibabu, anatolewa nje
51' Mins | Msuva anagongeana vizuri na Niyonzima ambaye anapiga shuti kali lakini hakulenga lango
50' Mins | Msuva anaingia vizuri lakini badala ya krosi anajaribu kupiga shuti na mpira unatoka juuuu, goal kick
48' Mins | Mbaraka Yusuf anaunganisha pasi fupi ya Mangoma na kuifungia Kagera Sugar bao la pili katika mchezo wa leo. Huyu ndiye aliyefunga bao la kwanza
47' Mins | Ngoma anaingia vizuri lakini anageuka na kumpa pasi Niyonzima, lakini mpira wake unakuwa laini
46' Mins | Mpira umeanza taratibu Kagera wakigonga pasi nyingi fupifu
Second Half | Kagera Sugar 1 - 3 YoungAfricans
HALF TIME | Kagera Sugar 1 - 3 YoungAfricans
45' Mins | Yanga wanaonekana kuupoza mchezo na hawana haraka hata kidogo, wanagongeana taratibu kabisa hapa
40' Mins | Yanga wanagongeana vizuri, Mwinyi anapiga krosi tamu kabisa lakini Juma ramadhani anawahi kuokoa na kuwa kona. Inachongwa tena, haina manufaa
38' Mins | Dida anafanya kazi ya ziada, anatoka nje ya 18 na kuokoa mpira miguuni mwa Ally
37' Mins | Chirwa anaingia na kumdhibiti Juma Ramadhani, anatoa krosi safi kwa MSuva ambaye anapiga shuti, wanaokoa na kuwa kona. Inachongwa na Niyonzima lakini haina matun
35' Mins | Kessy analambwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Taita
33' Mins | Ngoma na Msuva wanagongeana vizuri na krosi safi lakini Burhani anaokoa vizuri kabisa
31' Mins | Kagera wanamuingiza Ali Ramadhani kuchukua nafasi Japhet Makaray, Pia wanamtoa kipa Casillas na nafasi yake inachukuliwa na David Burhani
30' Mins | Kagera wanaonekana kuwa wamepaniki sasa na wanakaba kibabe jambo ambalo linaweza kuwasumbua au kuwaponza kupata kadi
28' Mins | Yanga wanaonekana wanaendelea kushambulia kwa kasi zaidi wakiwapa Yanga
26' Mins | Gooooooal obrey chirwa anaipatia Yanga goli la Tatu
23' Mins | Selemani Mangoma wa Kagera analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Ngoma kwa makusudi
21' Mins | Niyonzima anageuka na kupiga shuti kali, Casillas anatema na Msuva anamalizia safi kabisa na kuiandikia Yanga bao la pili
15' Mins | Ufudu wa Kagera anafanya kosa hapa, anaingia Chirwa hatari lakini Juma Ramadhani anawahi na kuondosha hatari hiyo
14' Mins | mpira zaidi unachezwa katikati ua uwanja na inaonekana timu zina nafasi ya kugongeana kwa kuwa uwanja ni safi kabisa
9' Mins | Japhet Makalay anaingia vizuri baada ya kumtoka Kessy lakini krosi yake inaishia mikononi mwa Dida
8' Mins | Msuva anaingia tena, krosi safi kabisa hatariiii lakini Casillas anatokea na hudaka vizuri kabisa
6' Mins| Mangoma wa Kagera anaingia vizuri anaachia shuti kali kabisa lakini ni goal ki
5' Mins | GOOOOOOOO Ngoma anaifungia Yanga bao la kusawazisha baada ya kufunga kwa kichwa akiunganisha krosi safi ya Simon Msuva
3' Mins | GOOOOOOOOOO Mbaraka Yusuf anamtoka Yondani na kuachia mkwaju mkali unaomngonga Dante na kumpoteza maboya kipa Dida na unajaa wavuni
1' Mins | Yanga wanaonekana kuanza kwa kasi kama wamepanga kupata bao la mapema ikiwezekana kumaliza kazi mchezo
Kikosi cha Yanga SC leo dhidi ya Kagera Sugar
1. Deogratius Munishi
2. Hassani Kessy
3. Mwinyi Haji
4. Andrew Vicent
5. Kelvin Yondani
6. Thabani Kamusoko
7. Saimoni Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Donald Ngoma
10. Obrey Chirwa
11. Deusi Kaseke
Akiba
- Beno Kakolanya
- Oscar Joshua
- Vicent Bossou
- Mbuyu Twite
- Geofrey Mwashuiya
- Mateo Antony
Credit: Saleh Jembe Blog