Hivi wadau naomba kuuliza kulikoni VPL??
Kitu kinacho nishangaza hata Apps zile zipizoanzishwa kwa ajili ya updates za VPL zinashindwa kuwa updated. Kulikoni nimeangalia ligi haiendelei this week kama ndio kama inavyoonyesha kulikoni??
Kama ni FA kwani zimebaki timu ngapi?? Kwanini zile ambazo haziko FA zisiendelee na ligi?? Mwisho nadhani haya mabadiliko ya mara kwa mara bila shaka ndio yanaathiri mambo haya yote mpaka wale wenye apps zao wanapata uvivu kuweka updates.
Naomba kuwasilisha.
From stone's Country