VPL kulikoni?

VPL kulikoni?

mustry75

Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
82
Reaction score
89
Hivi wadau naomba kuuliza kulikoni VPL??
Kitu kinacho nishangaza hata Apps zile zipizoanzishwa kwa ajili ya updates za VPL zinashindwa kuwa updated. Kulikoni nimeangalia ligi haiendelei this week kama ndio kama inavyoonyesha kulikoni??

Kama ni FA kwani zimebaki timu ngapi?? Kwanini zile ambazo haziko FA zisiendelee na ligi?? Mwisho nadhani haya mabadiliko ya mara kwa mara bila shaka ndio yanaathiri mambo haya yote mpaka wale wenye apps zao wanapata uvivu kuweka updates.

Naomba kuwasilisha.

From stone's Country
 
Mkuu kwani wewe uko wapi?

Leo Fa imeendelea Njombe mji kafungwa 1 na stand ....amepeleka wachezaji 13 tu tena timu B ...wengine kawaacha huko Njombe eti amfunge simba tar 3..
kesho Azam vs Mtibwa
singida vs Yanga jpili..
FA..


we uko wapi Mkuu?
 
Back
Top Bottom