Vpl leo tar 13/09/2015 Uwanja wa Taifa, Yanga vs Coast Union saa 10:00 Jioni

Yanga hamna kitu. Mkikutana na forward Kali basi mnakufa.
Leo coastal wamekosa goli 5

Kama hujui kufa, tazama maiti.

Hapa Bongo kuna forward ya maana zaidi ya ile ya Azam FC kwa sasa? Tumekutana nao Kagame wakapenya kwa matuta, tukakutana tena ngao ya jamii tukapeta kwa matuta. Tungekuwa na beki mbovu Azam wasingeshindwa kupata hata goli moja.
 
Yanga ya safari hii nyepesi sana, nitaomba tukikutana nao sisi tucheze pungufu ili tubalansishe mechi.
 
Yule namba tatu wa Yanga, haji is a complete left back he deserves to be playing in Europe
Aiseeeee yule dogo ni hatari sana, yaani ni mtamuuuuu kama mcharo, kwa kipindi kirefu yanga tulikuwa hatuna namba tatu kiraka kama yule ila safari hii tumepata kilicho bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…