Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hamia chama kubwa upate amani kila siku
Hahahaah mbona Nina amani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia chama kubwa upate amani kila siku
Hahahaah mbona Nina amani mkuu
Yanga hamna kitu. Mkikutana na forward Kali basi mnakufa.
Leo coastal wamekosa goli 5
Yanga ndio watakuwa kileleni baada ya mechi hii???
Tunawasubiri Prisons na wao tuwape dozi yao hiyo Jumatano, tufikishe point 6.
Harufu ya ubingwa hiyoooooooo Jangwani.
Aiseeeee yule dogo ni hatari sana, yaani ni mtamuuuuu kama mcharo, kwa kipindi kirefu yanga tulikuwa hatuna namba tatu kiraka kama yule ila safari hii tumepata kilicho bora.Yule namba tatu wa Yanga, haji is a complete left back he deserves to be playing in Europe