Vpl leo tar 13/09/2015 Uwanja wa Taifa, Yanga vs Coast Union saa 10:00 Jioni

kikosi dhaifu kabisa ukanda huu wa africa mashariki na kati, coasta union 2 yanga 1
Hahahaha haaaaaaaaaaaaaaaa, lile lililo na ukweli bado limebaki moyoni kwako.
Nadhani hapa unaongea tu kutimiza upinzani wako ila ukweli wa kikosi cha Jangwani unaufahamu.
 
Kikosi dhaifu hiki. Naona kipigo kwa wanajangwani
 
Yanga timu funga hao ciastal goli 10 tu warudi kwao Tanga wakapalilie mikonge.
 
Hahahaha haaaaaaaaaaaaaaaa, lile lililo na ukweli bado limebaki moyoni kwako.
Nadhani hapa unaongea tu kutimiza upinzani wako ila ukweli wa kikosi cha Jangwani unaufahamu.

labda kwa ile mbinu ya m pesa na tigo pesa mtatetea ubingwa
 
labda kwa ile mbinu ya m pesa na tigo pesa mtatetea ubingwa
Na wewe ni miongoni mwa wale wanaolilia maendeleo bila kufanya kazi!!!!
Bila jitihada kila siku utawaona wenzako wanaofanikiwa kuwa hawafanikiwi hivi hivi, Mafanikio ya timu yanahitaji mtiririko mzuri wa utawala, usajili unaofaa kiushindani na nafasi kubwa inabaki kwa wachezaji kucheza kwa kujituma.
Yanga daima mbele nyuma ibaki mikia.
 
Ngoja upangiwe na El mereikh au Zamalek ndo utanielewa mkuu
 
Ngoja upangiwe na El mereikh au Zamalek ndo utanielewa mkuu
Bora hata hapa hapa nijivunie kuwa nina kikosi bora, hayo ya zamalek ni baadae sana.
Hata kule ulaya kuna vilabu vya nchi kibao havijawahi kubeba klabu bingwa, hata hapa Afrika kuna club za nchi kibao ambazo hazijawahi kubeba hilo ligi wala hata kuingia hatua ya makundi bao.

Najivunie kikosi cha yanga popote pale nifikapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…