brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Asante kwa maoni yako. Karibu tena hapa Jukwaani itakapotimu saa 10:00 jioni hii.
Nitakuwepo kama kawa saa 10 kushuhudia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa maoni yako. Karibu tena hapa Jukwaani itakapotimu saa 10:00 jioni hii.
tuonane saa 10
Nitakuwepo kama kawa saa 10 kushuhudia
Hahahaha haaaaaaaaaaaaaaaa, lile lililo na ukweli bado limebaki moyoni kwako.kikosi dhaifu kabisa ukanda huu wa africa mashariki na kati, coasta union 2 yanga 1
Nami nipo hapa mkuu, nilipotezana na Dada yangu Bantu lady lakini sasa nategemea nitampata.Makoye Matale nitakuwepo kama kawa. Yanga timu - piga Coastal Union bao za kutosha ili tukwee kwenye usukani wa ligi.
Kikosi cha timu ya Yanga kinachotarajia kuanza msimu mpya wa ligi kuu leo tar 13/09/2015........
1.Ally Mustapha "Barthez"
2.Mbuyu Twite Junior
3.Hajji Mwinyi Ngwali
4.Nadir Haroub Cannavaro
5.Kelvin Yondan Vidic
6.Thaban Kamusoko
7.Simon Msuva
8.Haruna Niyonzima
9.Amissi Tambwe
10.Donald Ngoma
11.Geofray Mwashiuya
Kocha mkuu Hans Van Der Pluijm
Kocha msaidizi Charles Boniface Mkwasa
Meneja wa timu Afidhi Saleh
Daktari wa timu Juma Sufiani.
Kila la kheir timu ya wananchi Dar Young Africans.
Ushindi lazima leo dhidi ya Coast Union.
Ukibisha we mchawi....
Kinyume chake
Jina lako linajieleza kabisa mkuu
Yanga timu funga hao ciastal goli 10 tu warudi kwao Tanga wakapalilie mikonge.
Nami nipo hapa mkuu, nilipotezana na Dada yangu Bantu lady lakini sasa nategemea nitampata.
C.c: nifah
Hahahaha haaaaaaaaaaaaaaaa, lile lililo na ukweli bado limebaki moyoni kwako.
Nadhani hapa unaongea tu kutimiza upinzani wako ila ukweli wa kikosi cha Jangwani unaufahamu.
Na wewe ni miongoni mwa wale wanaolilia maendeleo bila kufanya kazi!!!!labda kwa ile mbinu ya m pesa na tigo pesa mtatetea ubingwa
Na wewe ni miongoni mwa wale wanaolilia maendeleo bila kufanya kazi!!!!
Bila jitihada kila siku utawaona wenzako wanaofanikiwa kuwa hawafanikiwi hivi hivi, Mafanikio ya timu yanahitaji mtiririko mzuri wa utawala, usajili unaofaa kiushindani na nafasi kubwa inabaki kwa wachezaji kucheza kwa kujituma.
Yanga daima mbele nyuma ibaki mikia.
Bora hata hapa hapa nijivunie kuwa nina kikosi bora, hayo ya zamalek ni baadae sana.Ngoja upangiwe na El mereikh au Zamalek ndo utanielewa mkuu
Umesahau kama hawa hawa Coast msimu uliopita walikula 8-0 kutoka kwa timu ya wananchi!!!!