Vpl leo tar 13/09/2015 Uwanja wa Taifa, Yanga vs Coast Union saa 10:00 Jioni

labda kwa ile mbinu ya m pesa na tigo pesa mtatetea ubingwa

Anzeni kutafuta visingizio vya kutosha maana gari bovu punde litakata breki na kuanza kugonga kila kigingi mbele yake. Kigingi cha nguvu kwa mwaka uliopita kilikuwa Ruvu Shooting (Masao Bwire) ingawa nacho kiligongwa vile vile.

Weka visingizio vyote kabla kazi haijaanza.
 
Yule mnaigeria chibedele yupo anawasubiri pale taifa
 
Kwenye timu ya Coast mvua inakuwa mchezaji wa namba ngapi!!!!!!?
Labda hiyo mvua iwe inacheza golini inaweza kuwazuia yanga kupitisha mpira golini, tofauti na hapo kipigo kwa Coast Union hakiepukiki.....

Asikuumize kichwa mkia wahedi yule,yan mpk leo wanaleta mambo ya kinamanyaunyau kwenye soka!
 
Dakika moja ya maombolezo ya nani sijui
 
Kipute kinakaribia kuanza laivu azam two
 
****************** START OF UPDATE******************

Yanga starting Line up

Ally Mustapha, Mbuyu Twite, Haji Mwinyi, Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Thaban Kamusoko,Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Amisi Tambwe, Donald Ngoma, Geofrey Mwashiuya.
 
So far mashambulizi yanatia matumaini. Msuva na ngoma wamekuwa kama mcharo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…