Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda kwa ile mbinu ya m pesa na tigo pesa mtatetea ubingwa
Kwenye timu ya Coast mvua inakuwa mchezaji wa namba ngapi!!!!!!?
Labda hiyo mvua iwe inacheza golini inaweza kuwazuia yanga kupitisha mpira golini, tofauti na hapo kipigo kwa Coast Union hakiepukiki.....
Uwezo huo wautoe wapi??
Umesahau kama hawa hawa Coast msimu uliopita walikula 8-0 kutoka kwa timu ya wananchi!!!!
Mwaka Jana sio leo
1 minite of silence!
Yanga mbele kwa mbele.....