Vpl leo tar 13/09/2015 Uwanja wa Taifa, Yanga vs Coast Union saa 10:00 Jioni

Vpl leo tar 13/09/2015 Uwanja wa Taifa, Yanga vs Coast Union saa 10:00 Jioni

Dah ngoma krosi mkaa. Coastal inabidi tuwe nao makini vishambulizi vyao vya kushtukiza vinaweza tuletea msiba
 
daaaaah tumenyimwa penalt. Msuva yuko chini anaugulia na asipokuwa makini kadi ya diving itamfuata
 
Back
Top Bottom