Hata tukiwafunga, hawashuki tena. Balaa liko kwa Prisons na Polisi Moro.
Dida pumbavuu zake sana. Hawa stand washamjulia heri ya barthez huyu mtoto kawa makalio sana. Anataka kutunyima raha sasa pambaaaf.
ok siufahamu msimamo kwa timu zilizoko katika hatari ya kushuka daraja...Hata tukiwafunga, hawashuki tena. Balaa liko kwa Prisons na Polisi Moro.
Goaaaaal Yanga 3 - 1 Stand utd
mmmh 1 kweli?!