VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

Nimeona mamito huo ubani ni shigida kabisa. Aisee bora now tunapumua na 3 points zetu.
Kabisaaa.Huoni vicheko vimetawala hapa sasa?
Kushinda raha sana acha tu.
Wenzetu sijui wanavumiaje kufungwa kila siku!
 
Yanga timu piga hao makonda na wapiga debe wananchi tuendeleze burudani
 
Simba wametoa tamko eti " Kama Mbeya City wanaamua kukaza basi wakaze kwa wote sio Simba tu" Msemaji wa SIMBA


Nilicheka kweli niliposikia hiyo kitu na mwakani wanakuja Toto africa, sijui itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…