VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

Hatutaki kusikia Stand wanalalama kuwa "consideration" imefika pungufu. Upate huku ukitoa haki kadiri ya makubaliano.
 
Timu zote zinaingia uwanjani ili kutafuta point 3 muhimu kwa kila timu.
 
Mpira umeanza,
yanga 0-0 stand.
 
Leo kwa dharau tumewapa kikosi cha nane
 
Yanga wapigeni hao stend united haraka sana.
 
Dak ya 8, yanga 0-0 stand.
 
Wazee wa kuishia raundi ya kwanza michuano ya CAF.

Wazee wa kupenda mechi za ligi ya Bara kasoro ile dhidi ya Simba

Wazee wa kuzimia

Mikia fc wazee kuboronga ligi ya bara, wazee wa kucheza ndondo ili kudunduliza pesa za kulipa posho wachezaji, wazee wa kudhulumiwa, wazee wa kulia baada ya kuchukuliwa wachezaji, wategemezi wa okwi tu
 
Mkuu Katavi nakuhurumia sana kwani kwa hizi mechi 3 zilizo mbele yetu utaendelea kusikitika, kusononeka na kuomboleza. Tunataka pointi 9 tu ili tukikutana na Azam tumwachie ili Simba asinyakue nafasi ya mshindi wa 2 kama yeye alivyofanya mwaka jana.

Hilo ndio la msingi. Kwanza ni kuweka ubingwa kibindoni. Tukikutana na Azam inacheza Yanga B. Mwakani Mikia kama kawaida Mapinduzi Cup.
 
Hawa stend mbona wanataka kuharibu siku yangu.
 
Kawaida ya yanga mida ka hii wana holi 2
 
Dak ya 22, yanga 0-1 stand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…