mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Huu ni mwendelezo wa ligu kuu Tanzania bara na leo tar 24/04/2015 Yanga ya dar es salaam inaikaribisha timu ya Ruvu shooting ya pwani.
Mchezo unatazamiwa kuwa mkali na wakusisimua kutokana na timu zote mbili kuhitaji point 3 muhimu, Yanga inahitaji point 3 katika mchezo wa leo ili kujiweka mazingira mazur zaidi ya kunyakuwa ubingwa wa msimu huu wa 2014/2015, huku ruvu shooting wakihitaji point 3 ili kujiweka mahala salama ili kukwepa mkasa wa kushuka daraja.
Kukuletea hayo yote kutoka pale uwanja wa taifa ifikapo saa 16:00 jioni utakuwa nami mkolaj, sibonike, wakimataifa, makoye matale, Amavubi, katavi, cnjona, yahoo, Nifah, Bantu lady na wadau wengine.......
Kila la kheir yanga afrika.
______________
______________
FULL TIME
YANGA 5-0 RUVU SHOOTING.