VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Huu ni mwendelezo wa ligu kuu Tanzania bara na leo tar 24/04/2015 Yanga ya dar es salaam inaikaribisha timu ya Ruvu shooting ya pwani.

Mchezo unatazamiwa kuwa mkali na wakusisimua kutokana na timu zote mbili kuhitaji point 3 muhimu, Yanga inahitaji point 3 katika mchezo wa leo ili kujiweka mazingira mazur zaidi ya kunyakuwa ubingwa wa msimu huu wa 2014/2015, huku ruvu shooting wakihitaji point 3 ili kujiweka mahala salama ili kukwepa mkasa wa kushuka daraja.

Kukuletea hayo yote kutoka pale uwanja wa taifa ifikapo saa 16:00 jioni utakuwa nami mkolaj, sibonike, wakimataifa, makoye matale, Amavubi, katavi, cnjona, yahoo, Nifah, Bantu lady na wadau wengine.......

Kila la kheir yanga afrika.

______________
______________

FULL TIME
YANGA 5-0 RUVU SHOOTING.
 
Samahani Mkolaj,

Hivi Jangwani wanahitaji point ngapi ili kutawazwa Ubingwa?
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Ruvu shooting;
1.Deogratius Munishi "Dida"
2.Juma Abdul Mnyamani
3.Oscar Joshua
4.Rajabu Zahir
5.Kelvin Yondan
6.Said Juma Makapu
7.Simon Msuva
8.Haruna Niyonzima "Fabregas"
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa "Anko"
11.Kpah Sherman

SUB----
Ally Mustapha "Barthez"
Edward Charles
Nizar Halfan
Andrey Coutinho
Hassan Dilunga
Jerryson Tegete.

Kocha mkuu___
Hans van der Pluijm

Kocha msaidizi___
Charles Boniface Mkwasa

Daktari wa timu-
Juma Sufiani

Meneja wa timu__
Afidh Saleh

Kila la kheir yanga afrika.

YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Wanahitaji point 6 tu ili kutangazwa kuwa ni mabingwa wapya wa msimu wa 2014/2015.
Yanga ikishinda leo zitabaki point 3 tu ili kutawazwa kuwa mabingwa.

Asante mkuu.
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Ruvu shooting;
1.Deogratius Munishi "Dida"
2.Juma Abdul Mnyamani
3.Oscar Joshua
4.Rajabu Zahir
5.Kelvin Yondan
6.Said Juma Makapu
7.Simon Msuva
8.Haruna Niyonzima "Fabregas"
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa "Anko"
11.Kpah Sherman
kwa mara nyingine tena yanga itachukua point 2, Tambwe na Msuva kwa mara nyingine tena watafanya yao
 
Mikia fc hawapati nafasi ya 2, wenyewe si wanafanya sana kutukomalia kutufunga na sisi tutawakomalia waendelee kuwa wasindikizaji wa ligi kama timu zingine. Wanaomba sana eti tuwafunge Azam pia wanasema siku hiyo watatushangilia mwanzo mwisho, pumbavu zao siku ile tunapambana na etoi du sahel walishangilia timu pinzani tena kwa nguvu zote
 
Daima mbeleee km tai,

Na nyuma mikia siku zote

Yanga timu piga ao wajeda 3-0
 
halafu Dida naye mi sina imani naye kwa kweli, naona kama anafungwa magoli mepesi aisee
 
Ni kweli Dida ni tatizo sana bora ya Bathez! Akishindwa kudhihirisha ubora wake leo basi tena!
 
Back
Top Bottom