VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

Yesterday: Etoil du Sahel 1 - 1 Esperence

Today: Yanga 5 - Ruvu Shooting 0
 
yani niinahamu ya kumsikia Masu Bwire kwenye kipindi cha michezo. Jana alijisifia huyu mtu, utadhani yeye ndiye atakaye cheza uwanjani.ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Yesterday: Etoil du Sahel 1 - 1 Esperence

Etoile hawana ubavu wa kupata magoli mengi, tukikomaa tutawacharaza na kuwasukumiza nje ya mashindano. Twende tukacheze Total Football tuwashambulie mwanzo hadi mwisho.
 
Countinho anataka kuingia.
Sijui kocha anawatakia nini hawa Shooting
 
Nakuonaga jukwaa la wakubwa, mie huku nyumbani

Duh!Mkuu umenifanisha tu mimi lile jukwaa siingiagi kabisa.Na nikiingia ni kama leo kuna kitu nafuatilia basi.
Mimi jukwaa langu ni la tetesi na umbea kuhusu mastar wa mjini ndio home sweet home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…