Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Mashabiki wa Yanga mnapenda sana sifa za kijinga' haya kuleni basi hayo magoli Aaaggrrr.
Wewe mikia usitusumbue sisi, kaombolezee huko madudu ya timu yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa Yanga mnapenda sana sifa za kijinga' haya kuleni basi hayo magoli Aaaggrrr.
Hahahaaa,mbona wewe upo huku pia?
Tangu Coast apewe 8-0 neno 'Yanga' halijapita kinywani mwa Julio.
Ha ha ha ha hahahahaaa kaka umeua uwiii Julio hana hamu na Yanga.
Keep that promise my dear
Kaka kaka usinifunge tu lol... Hahahahahaaaa
Yesterday: Etoil du Sahel 1 - 1 Esperence
Mmmhhhh hii bongo hii bana..
Tutakutana Simba kapakatwa pub
Etoile hawana ubavu wa kupata magoli mengi, tukikomaa tutawacharaza na kuwasukumiza nje ya mashindano. Twende tukacheze Total Football tuwashamvulie mwanzo hadi mwisho.
Ha hahahaha powa kaka.
Makoye Matale atakuwepo pia Katavi naye atakuwepo
Yeah hiyo itakuwa zaidi ya powaaa. Ushindi wetu huu...
Nakuonaga jukwaa la wakubwa, mie huku nyumbani