VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

Unaijua uliyoitoa mara ya mwisho... Ha hahahahahaa mkolaj eti huyu hajui offer aliyoitoa...

Teheeeeee teheeee anajisahulisha ila safari kwa zile ahadi zake atageuka chujio maana daily watu watam-cameroon
 
Last edited by a moderator:
Duh!Mkuu umenifanisha tu mimi lile jukwaa siingiagi kabisa.Na nikiingia ni kama leo kuna kitu nafuatilia basi.
Mimi jukwaa langu ni la tetesi na umbea kuhusu mastar wa mjini ndio home sweet home.

Haya bhana subiri nitakufuma tu mana mida yako ya kuingia kule ni usiku wa saa 7, sijui mzuka unakuwa umekupanda tayari
 
Acha hizo wewe kushinda mshinde na dk uulizie ndo sifa zenyewe hizi.

Mikia fc kumbe mpo kutafuta umbea huku, mimacho iliwatoka mkijua Yanga atapoteza leo, hivi bado point ngapi Yanga kuchukua ubingwa ?
 
Etoile hawana ubavu wa kupata magoli mengi, tukikomaa tutawacharaza na kuwasukumiza nje ya mashindano. Twende tukacheze Total Football tuwashambulie mwanzo hadi mwisho.

na hii ndo dawa yao, natamani makocha wa yanga wangesoma haya maoni
 
furaha niliyonayo ukiniona huwez amin kama asubuh nilitoka hme nimenuna wife kazingua kazin hakukaliki wakuda wanachonga nimelate bt now huwez amin nilivyo na raha hiii yanga hii,ngoja nipitie shop niangalie hata kagaun kazur nimpekekee wife.
 
Haya bhana subiri nitakufuma tu mana mida yako ya kuingia kule ni usiku wa saa 7, sijui mzuka unakuwa umekupanda tayari

Wewe chizi kweli yani.
Kwaheri usiniharibie siku bure.
 
Full Time:

Yanga SC 5 - Ruvu Shooting 0.

Yanga tumefikisha points 52.
Magoli yote haya tumemkabidhi Masau Bwire...

#teamyanga #

'Ninajua tunakwenda katika dimbwi lenye vyura wengi wanaopiga kelele. Hata hivyo kelele za vyura hazimzuii ng'ombe kunywa maji' (Masao Bwire).

Kelele za vyura hatimaye zimezuia ng'ombe kunywa maji, asante Yanga kwa kutoa onyo kali kwa Masao Bwire.
 
Hivi huko Mikia nani alitoa pendekezo Tambwe auzwe na kwa sababu zipi?
 
ukishabikia yanga ujue wewe kila siku ni kicheko.
 
Acha kabisa!ikibaki wiki moja (sijui ndio hii?).Itabidi nifunge na kusoma dua kali kali tu maana na mimi kuna watu wameniahidi vitu vinono humu.
Kushinda kwa Yanga kuna maana kubwa sana kwangu.
Hivyo vinono tayari ushavikosa, lakini kwa kiubinadamu mtu akiwa na furaha hupewa pongezi lakini akiwa na huzuni hupewa pole, ahadi yangu isipotimilishwa nitaibadili na kukufuta machozi japo kwa kifurushi cha wiki moja unlimited.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…