kitandilikunja
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 229
- 37
Ft y5-r0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua uliyoitoa mara ya mwisho... Ha hahahahahaa mkolaj eti huyu hajui offer aliyoitoa...
Duh!Mkuu umenifanisha tu mimi lile jukwaa siingiagi kabisa.Na nikiingia ni kama leo kuna kitu nafuatilia basi.
Mimi jukwaa langu ni la tetesi na umbea kuhusu mastar wa mjini ndio home sweet home.
Full Time:
Yanga SC 5 - Ruvu Shooting 0.
Yanga tumefikisha points 52.
Magoli yote haya tumemkabidhi Masau Bwire...
#teamyanga #
Full Time:
Yanga SC 5 - Ruvu Shooting 0.
Yanga tumefikisha points 52.
Magoli yote haya tumemkabidhi Masau Bwire...
#teamyanga #
dk ya ngapi wakuu ?
Makoye Matale atakuwepo pia Katavi naye atakuwepo
Acha hizo wewe kushinda mshinde na dk uulizie ndo sifa zenyewe hizi.
Etoile hawana ubavu wa kupata magoli mengi, tukikomaa tutawacharaza na kuwasukumiza nje ya mashindano. Twende tukacheze Total Football tuwashambulie mwanzo hadi mwisho.
Haya bhana subiri nitakufuma tu mana mida yako ya kuingia kule ni usiku wa saa 7, sijui mzuka unakuwa umekupanda tayari
Full Time:
Yanga SC 5 - Ruvu Shooting 0.
Yanga tumefikisha points 52.
Magoli yote haya tumemkabidhi Masau Bwire...
#teamyanga #
Jumatatu tunatangaza ubingwa wa VPL 2014/2015.
Hivyo vinono tayari ushavikosa, lakini kwa kiubinadamu mtu akiwa na furaha hupewa pongezi lakini akiwa na huzuni hupewa pole, ahadi yangu isipotimilishwa nitaibadili na kukufuta machozi japo kwa kifurushi cha wiki moja unlimited.Acha kabisa!ikibaki wiki moja (sijui ndio hii?).Itabidi nifunge na kusoma dua kali kali tu maana na mimi kuna watu wameniahidi vitu vinono humu.
Kushinda kwa Yanga kuna maana kubwa sana kwangu.