VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

Hivyo vinono tayari ushavikosa, lakini kwa kiubinadamu mtu akiwa na furaha hupewa pongezi lakini akiwa na huzuni hupewa pole, ahadi yangu isipotimilishwa nitaibadili na kukufuta machozi japo kwa kifurushi cha wiki moja unlimited.

Wow!Nimekukubali ghafla! Hayo ndio maneno na uungwana.
Pamoja sana mkuu Masuke.
 
Last edited by a moderator:
Duh!Mkuu umenifanisha tu mimi lile jukwaa siingiagi kabisa.Na nikiingia ni kama leo kuna kitu nafuatilia basi.
Mimi jukwaa langu ni la tetesi na umbea kuhusu mastar wa mjini ndio home sweet home.

Detective Nifah!
 
Mkuu, biashara ipo. Ni kama ile ya Mikia kwa Mgambo ya Tanga.
Asikuumize kichwa huyo hajui mpira, anaropoka hovyo kama msemaji wao Hajji Manara,....
Yanga daima mbele nyuma mwiko.
 
Ha ha naijua mitaa yako leo ndio nimekuona ukiwa detective sehemu. Yanga inatupa raha ndio habari kubwa ya mujini

Hahahaaa,huu udetective wa leo hatari sana.
Yanga tena ndio inazidi kunipa nguvu ya kufanya kazi yangu kwa umakini zaidi.
 
Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
hiiiiiiiiiiiiiiii sasaaaaaa
sifaaaaaaaaa
5-0 RUVU
 

yanga ni noma xana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…