VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

Attachments

  • 1429890639690.jpg
    1429890639690.jpg
    63.1 KB · Views: 327
Hivyo vinono tayari ushavikosa, lakini kwa kiubinadamu mtu akiwa na furaha hupewa pongezi lakini akiwa na huzuni hupewa pole, ahadi yangu isipotimilishwa nitaibadili na kukufuta machozi japo kwa kifurushi cha wiki moja unlimited.

Wow!Nimekukubali ghafla! Hayo ndio maneno na uungwana.
Pamoja sana mkuu Masuke.
 
Last edited by a moderator:
Duh!Mkuu umenifanisha tu mimi lile jukwaa siingiagi kabisa.Na nikiingia ni kama leo kuna kitu nafuatilia basi.
Mimi jukwaa langu ni la tetesi na umbea kuhusu mastar wa mjini ndio home sweet home.

Detective Nifah!
 
Mkuu, biashara ipo. Ni kama ile ya Mikia kwa Mgambo ya Tanga.
Asikuumize kichwa huyo hajui mpira, anaropoka hovyo kama msemaji wao Hajji Manara,....
Yanga daima mbele nyuma mwiko.
 
Ha ha naijua mitaa yako leo ndio nimekuona ukiwa detective sehemu. Yanga inatupa raha ndio habari kubwa ya mujini

Hahahaaa,huu udetective wa leo hatari sana.
Yanga tena ndio inazidi kunipa nguvu ya kufanya kazi yangu kwa umakini zaidi.
 
Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
hiiiiiiiiiiiiiiii sasaaaaaa
sifaaaaaaaaa
5-0 RUVU
 
huu ni mwendelezo wa ligu kuu tanzania bara na leo tar 24/04/2015 yanga ya dar es salaam inaikaribisha timu ya ruvu shooting ya pwani.

Mchezo unatazamiwa kuwa mkali na wakusisimua kutokana na timu zote mbili kuhitaji point 3 muhimu, yanga inahitaji point 3 katika mchezo wa leo ili kujiweka mazingira mazur zaidi ya kunyakuwa ubingwa wa msimu huu wa 2014/2015, huku ruvu shooting wakihitaji point 3 ili kujiweka mahala salama ili kukwepa mkasa wa kushuka daraja.

Kukuletea hayo yote kutoka pale uwanja wa taifa ifikapo saa 16:00 jioni utakuwa nami mkolaj, sibonike, wakimataifa, makoye matale, amavubi, katavi, cnjona, yahoo, nifah, bantu lady na wadau wengine.......

Kila la kheir yanga afrika.

______________
______________

full time
yanga 5-0 ruvu shooting.

yanga ni noma xana.
 
Back
Top Bottom