Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Atasema hawa jamaa wanakimbia na mpira utadhan cheeter!!!!!!Yan nikimuwaza Masau Bwire najikuta nacheka kabla hata cjamsikia atasemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atasema hawa jamaa wanakimbia na mpira utadhan cheeter!!!!!!Yan nikimuwaza Masau Bwire najikuta nacheka kabla hata cjamsikia atasemaje
Masau Bwire 5-0 Yanga
Nzuri kaka, ukichangia na huu ushindi. Raha tu mjini, weekend tamuuu. Za kwako..
Masau Bwire 5-0 Yanga
Offer ya nini tena bidada?
Hahahaaa!Hivi huyu ni yule Albino au? Msinicheke jama sijui kweli!
Atasema hawa jamaa wanakimbia na mpira utadhan cheeter!!!!!!
Hii Yanga ni zaidi ya sifa mito, kila anayekuja anadose yake.
Yanga imekuwa tamu, Mcharo kasingiziwa...
#teamyanga #
Mie mzima tu, karibu kinondoni jioni tusheherekee ushindi pamoja
Ndugu yangu unanijua ninavyopenda ubuyu.Saa hizi ndio naona hii mention yako!
Heri lakini,kwa Yanga hii wala sishangai!
Huyu jamaa kachonga sana jana na leo tunamtandika kisawasawa ili aache kuongea tena
Na wewe upo huku
ume hamia yanga lini mkuu..Tambwe tambwe gooooo anaiandikia yanga bao 4
Huyu jamaa kachonga sana jana na leo tunamtandika kisawasawa ili aache kuongea tena
Mashabiki wa Yanga mnapenda sana sifa za kijinga' haya kuleni basi hayo magoli Aaaggrrr.
Tukichukua kombe nitakaribia kaka huko, leo tutasheherekea pamoja hapa.