E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,697 Mar 12, 2021 #1 Hiyo mechi tajwa hapo juu mbona haijaanza mpaka sasa kulikoni? Nina maneno nayo hebu mnijuze kama imeahirishwa na kwa sababu gani.
Hiyo mechi tajwa hapo juu mbona haijaanza mpaka sasa kulikoni? Nina maneno nayo hebu mnijuze kama imeahirishwa na kwa sababu gani.
Mzee23 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 1,731 Reaction score 3,628 Mar 12, 2021 #2 Imeahirishwa
Mkazamoyo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 1,495 Reaction score 2,543 Mar 12, 2021 #3 Mwenyewe nilikuwa na maslahi nayo dah!
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Mar 12, 2021 #4 Vijana wa Mpakani wanaitaka nafasi ya Utopolo pale Na.2 Mkazamoyo said: Mwenyewe nilikuwa na maslahi nayo dah! Click to expand...
Vijana wa Mpakani wanaitaka nafasi ya Utopolo pale Na.2 Mkazamoyo said: Mwenyewe nilikuwa na maslahi nayo dah! Click to expand...
livafan JF-Expert Member Joined Oct 20, 2016 Posts 2,955 Reaction score 5,616 Mar 12, 2021 #5 Mzee23 said: ImeahirishwaView attachment 1723687 Click to expand... Hapa kampuni za bet itabidi ziangalie vizuri , mechi ikiahirishwa bora wakarudisha hela za watu, makampuni ya bettin hapa ndipo yanaponufaika haswa
Mzee23 said: ImeahirishwaView attachment 1723687 Click to expand... Hapa kampuni za bet itabidi ziangalie vizuri , mechi ikiahirishwa bora wakarudisha hela za watu, makampuni ya bettin hapa ndipo yanaponufaika haswa
Plot281 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 875 Reaction score 454 Mar 13, 2021 #6 Kwa namna yeyote ile coast hachomoki kwa bum pale karume stadium[emoji123]