VPL mechi ya Biashara mara na Coastal union mbona haianzi?

VPL mechi ya Biashara mara na Coastal union mbona haianzi?

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Hiyo mechi tajwa hapo juu mbona haijaanza mpaka sasa kulikoni? Nina maneno nayo hebu mnijuze kama imeahirishwa na kwa sababu gani.
 
Imeahirishwa
SI_20210312_163709.jpg
 
Kwa namna yeyote ile coast hachomoki kwa bum pale karume stadium[emoji123]
 
Back
Top Bottom