VPL: Simba SC Vs Azam FC

VPL: Simba SC Vs Azam FC

Nasubiri kuona adhabu ya Okwi ukurasa wa mbele wa championi,maana walijitutumua sana na picha ya Tambwe
 
Nasubiri kuona adhabu ya Okwi ukurasa wa mbele wa championi,maana walijitutumua sana na picha ya Tambwe

".. tushukuru Mungu Okwi yupo hai hadi sasa, maana alipigwa kiwiko mshipa wa fahamu ulio nyuma chini ya kichwa chake na ndo maana alipoteza fahamu kwa zaidi ya dk 10"
Source: Dr. wa Simba Sc.

Nami pia nategemea kuona hatua kali saaana zikichukuliwa.
 
jana simba na azam mechi ilikuwa nzuri sana simba alicheza mpira mzuri sana kama bacilona
 
".. tushukuru Mungu Okwi yupo hai hadi sasa, maana alipigwa kiwiko mshipa wa fahamu ulio nyuma chini ya kichwa chake na ndo maana alipoteza fahamu kwa zaidi ya dk 10"
Source: Dr. wa Simba Sc.

Nami pia nategemea kuona hatua kali saaana zikichukuliwa.

TFF ichukue hatua...OKWI alichezewa faulu mbaya sana ambayo ingeweza kupelekea kifo chake

Sasa tuone TFF na double standards zake
 
Ahsante sana Ndanda timu ya kukaya,
Siku moja mtakuwa juu na wazee wa droo watakuwa chini yenu.

Acha kujifaragua wewe.Nadhani jana umeona wanaume wakiwa uwanjani.

Simba ni timu bora zaidi Tanzania.Na ndiyo itachukua ubingwa mwaka huu
 
Sare ya ngapi hiyo?

Unaelewa maana ya sare wewe?

Maana ya sare ni kwamba mnagawana point.

Hii ni ishara kuwa simba ni Timu ngumu zaidi katika ligi ya Tanzania.

Si rahisi kuchukua point tatu kwa simba

Simba ni chuo cha soka Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Freeland acha kuwayawaya, ni miujiza pekee itakayoifanya Simba iingie hata katika 3 bora za ligi kuu.

Kong'oli hapa: https://twitter.com/Tanfootball/status/559440697380843521/photo/1
Makoye Matale hua sipendi kuwa mbashiri

Simba ni timu ngumu zaidi katika Ligi hii......sio rahisi kuchukua point kwa simba

Gap la simba na timu ya kwanza ni gemu tatu tu

Kwa ligi jinsi ilivyo mbichi....simba itauchukua ubingwa...ni makosa madogo tu ya kurekebisha.

Kumbuka bado tuko raund ya kwanza ya ligi
 
Pia lambalamba wametuzidi mechi 1.
 
Last edited by a moderator:
".. tushukuru Mungu Okwi yupo hai hadi sasa, maana alipigwa kiwiko mshipa wa fahamu ulio nyuma chini ya kichwa chake na ndo maana alipoteza fahamu kwa zaidi ya dk 10"
Source: Dr. wa Simba Sc.

Nami pia nategemea kuona hatua kali saaana zikichukuliwa.

Hakuna hatua itakayochukuliwa kwani Simba si timu ya kulalamikalalamika.
 
Makoye Matale hua sipendi kuwa mbashiri

Simba ni timu ngumu zaidi katika Ligi hii......sio rahisi kuchukua point kwa simba

Gap la simba na timu ya kwanza ni gemu tatu tu

Kwa ligi jinsi ilivyo mbichi....simba itauchukua ubingwa...ni makosa madogo tu ya kurekebisha.

Kumbuka bado tuko raund ya kwanza ya ligi

Kwa ugumu wa kutoa pointi nakubaliana nawe kwa upande mmoja. Kwa upande wa pili Simba ni timu dhaifu sana kuchuku pointi kutoka timu nyingine. Imecheza michezo 10 nakuambulia pointi 13 wastani wa pointi 1.3 kwa kila mechi sawa na wastani wa 43.3% ambayo ni chini ya nusu.
 
Viongozi wa TFF wanajua cha kufanya, wakizembea Simba Sc tunajua cha kufanya.

Malipo yako duniani hapa hapa. Hivi majuzi mliinyoshea vidole Yanga kwa kulalamikia umafia aliotendewa Amisi Tambwe, mkadai Yanga ni timu ya kulalamikalamika tu. Hata wiki haijapita mmekutana na kigongo cha wiki na kuanza kulalama. Pole sana.

Anyway, tuache utani wala ushabiki, hatua lazima zichukuliwe vinginevyo makubwa zaidi yanaweza kutokea uwanjani.
 
Afadhali mkuu,kumbe sio mechi za Yanga tu refa anashindwa kumudu mchezo
Mkuu penye ukweli lazima usemwe. Refa aliyechezesha mechi ya Yanga na Polisi alishindwa kuthibiti nidhamu uwanjani matokeo yake mpira ukageuka vita badala ya burudani.

Jana mechi ya Simba vs Azam tuliokuwepo kiwanjani na hata walioshuhudia kupitia Luninga waliona refa kipindi cha pili mpira ulivyomshinda.
1. Lile tukio la Kavumbagu kumpiga teke la makusudi kipa wa Simba Manyika alitakiwa kutoa onyo. Matokeo yake rafu za kijinga zikaanza .
2. Tukio la mchezaji wa Simba kuchezewa rafu na kugaagaa chini lakini refa alipeta kwa kuwa Simba ilikuwa inashambuliwa. Baada ya Simba kunyan'ganya mpira na kuanza kuelekea langoni mwa Azam Refa akapiga filimbi ya kusimamisha mchezo ili mchezaji atibiwe. Inashangaza sana.
3. Tukio la wachezaji kurushiana madaluga upande wa mashariki ya uwanja kama mara nne hivi lilitokea tena mbele ya Refa, mpaka mchezaji wa Simba alipokita njumu kwenye ugoko wa mchezaji wa Azam ndipo refa alipopuliza filimbi.

Kwa matukio hayaTFF kupitia FRAT ina kazi kubwa sana ya kufanya.
 
Kwa ugumu wa kutoa pointi nakubaliana nawe kwa upande mmoja. Kwa upande wa pili Simba ni timu dhaifu sana kuchuku pointi kutoka timu nyingine. Imecheza michezo 10 nakuambulia pointi 13 wastani wa pointi 1.3 kwa kila mechi sawa na wastani wa 43.3% ambayo ni chini ya nusu.
Hongera kwa uchambuzi, hebu weka na za Yanga....
 
Malipo yako duniani hapa hapa. Hivi majuzi mliinyoshea vidole Yanga kwa kulalamikia umafia aliotendewa Amisi Tambwe, mkadai Yanga ni timu ya kulalamikalamika tu. Hata wiki haijapita mmekutana na kigongo cha wiki na kuanza kulalama. Pole sana.

Anyway, tuache utani wala ushabiki, hatua lazima zichukuliwe vinginevyo makubwa zaidi yanaweza kutokea uwanjani.

Mkuu kwa Yanga ile ni siasa tu imefanyika....wale jamaa Tambwe na Michae wote walikua wanapeana vikumbo kwa zamu.

Wote wamepigana ngumi za kisiri siri.

Sema tu kwa sababu Yanga ni timu ya Magazeti ndio maana imekuwa vile.

Sasa nataka ushuhudie jinsi TFF ilivyo na Double standard.Katika hili la OKWI kupigwa hadi kuzimia/kukaribia kufa....na hakuwa na mpira.

Nakuhakikishia TFF haitachukua hatua zozote
 
Back
Top Bottom