VPL: Simba SC Vs Azam FC

VPL: Simba SC Vs Azam FC

Leo ni mechi ya kushuhudia vipaji vikipambana kwenye uwanja wa Taifa, sio mechi ya kubeba gloves na kuchukua mataulo.

CC: Makoye Matale na dada katika soka Bantu lady
 
Last edited by a moderator:
Masuke Leo uwanjani kuna wababe Wa doka la uwanjani na sio magazetini
 
Last edited by a moderator:
Kiufundi: Azam wametawala katikati kwa sababu wamechezesha wachezaji wanne ambao kwa asili ni viungo wakabaji ambao ni Kipre Balou, Mudahir Yahya, Frank Domayo pamoja na Himid Mao tofauti na Simba ambao wapo vijana wawili tu ambao ni Jonas Mkude pamoja na Said Ndemla. Endapo kocha atafanya mabadiliko ya kumtoa winga mmoja na kuingiza kiungo mmoja au mshambuliaji mmoja na kuingia kiungo mambo yatakuwa tofauti na kuna uwezekano wa Simba kutawala na hatimaye kuongeza magoli zaidi.

Timu ya Azam kutokana na kutawala katikati washambuliaji wake wakiwa makini huenda kipindi cha pili wakasawazisha na pengine kupata magoli zaidi.

Kiushabiki: nataka Simba wapate goli la pili na hatimaye kupata ushindi katika mechi hii ya leo.
 
Back
Top Bottom