VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

Hata sare si mbaya sana kwenu simba sc ko muendelee kuomba.
NAMI NAWATAKIA SARE NJEMA.

Mkuu NGANU nafikiria niachane na hili jukwaa, limepooza mno, naomba ushauri wako Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli coastal wanashindwa kuwazuia azam. Dah haya bana. Nimecheki tweets za tff azam 1 coastal 0 boko kafunga dk 13
 
Vodacom Premier League Results

HT: Ruvu Shooting 0-0 Simba
HT: Coastal Union 0-1 Azam ( John Bocco)
 
Utani wa humu siku hizi umekuwa ni wa matusi sana, Nakumbuka kipindi kile watani wetu kama kina Anselm, Mendieta, ACCOUNT FULL, wabheja sana na wachache wengine ilikuwa ni utani wenye heshima.

Tuungane pamoja kupinga utani wa matusi hapa jukwaani. Jukwaa bila mashabiki wa Simba na Yanga kwenye mechi kama hii lazima lipooze.

Wengine hatuna starehe nyingine zaidi ya mechi za soka hivyo ni muhimu sana tutunze maadili na kanuni za JF, tuchangie kwa utani bila kuvunja heshima kwa member yeyote wala timu yake.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli coastal wanashindwa kuwazuia azam. Dah haya bana. Nimecheki tweets za tff azam 1 coastal 0 boko kafunga dk 13

Ni matokeo ya mpira Mkuu. Coastal Union nao hawako vizuri sana hivyo haishangazi kusikia wako nyuma kwa bao moja.
 

Msifichefiche mwenye matusi ni mmoja tuu humu mshabiki wa mikia anaitwa grafani11. Mikia wenzie wamwambie ajirekebishe
 
All Africa Games Qualifier:
First Leg Match;
HT: Zambia ( She-polopolo) 1-0 Tanzania ( Twiga Stars)
 
Haruna niyonzima 1960Remija
Hivi kuna kuchezeka kweli kwa mechi ya Ruvu Shooting v Simba Koko leo na hii mvua!? Cc jamalmalinzi Tanfootball
1:11pm - 22 Mar 15
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…