Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
goooooooool,,,,,,,,,,
Hata sare si mbaya sana kwenu simba sc ko muendelee kuomba.
NAMI NAWATAKIA SARE NJEMA.
Mkuu NGANU nafikiria niachane na hili jukwaa, limepooza mno, naomba ushauri wako Mkuu.
Wapi huko?
Bila kumsahau mkongwe Masuke.
HT Ruvu 0 0 Simba
Utani wa humu siku hizi umekuwa ni wa matusi sana, Nakumbuka kipindi kile watani wetu kama kina Anselm, Mendieta, ACCOUNT FULL, wabheja sana na wachache wengine ilikuwa ni utani wenye heshima.
Hivi kweli coastal wanashindwa kuwazuia azam. Dah haya bana. Nimecheki tweets za tff azam 1 coastal 0 boko kafunga dk 13
Tuungane pamoja kupinga utani wa matusi hapa jukwaani. Jukwaa bila mashabiki wa Simba na Yanga kwenye mechi kama hii lazima lipooze.
Wengine hatuna starehe nyingine zaidi ya mechi za soka hivyo ni muhimu sana tutunze maadili na kanuni za JF, tuchangie kwa utani bila kuvunja heshima kwa member yeyote wala timu yake.
Msifichefiche mwenye matusi ni mmoja tuu humu mshabiki wa mikia anaitwa grafani11. Mikia wenzie wamwambie ajirekebishe