VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

Msifichefiche mwenye matusi ni mmoja tuu humu mshabiki wa mikia anaitwa grafani11. Mikia wenzie wamwambie ajirekebishe

Sio kweli na acha kupotosha watu hapa, grafani11 hana lugha ya matusi kabisa. Yeye uongea kifalsafa sasa ni lazima ufanye kazi kumuelewa
 
All Africa Games Qualifier: (Women).
55' Zambia ( She-polopolo) 1-2 Tanzania ( Twiga Stars)
 
Njooni basi wanasimba mnaongoza goli mbili.
 
Ruvu Shooting kwishney, wamepigwa la pili. Simba 2-0 Ruvu Shooting.

Mikia rejeeni jukwaani sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…