VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

Hii ligi ishanichosha mimi, itanipa ugonjwa wa moyo bure.
Ligi imekuwa ngumu, leo msimamo hivi. Siku mbili ushavurugika, leo ndiyo maini na figo vimekaangika.
Kiukweli roho imeniuma hawa mikia kushinda. Ruvu waone kwanza...

Hicho ni kisebusebu na kiroho papo
 
African Championship Beach Soccer Qualifie;
FT' Egypt 9 - 4 Tanzania ( aggregate 15 - 6)
Egypt qualified for... fb.me/215XWHaXg
 
Hii ligi ishanichosha mimi, itanipa ugonjwa wa moyo bure.
Ligi imekuwa ngumu, leo msimamo hivi. Siku mbili ushavurugika, leo ndiyo maini na figo vimekaangika.
Kiukweli roho imeniuma hawa mikia kushinda. Ruvu waone kwanza...

Ucwe na wasiwasi mama hao simba hawamo kwenye mbio za ubingwa tena, wanajifuraisha tu
 
Wakuu mashabiki wa Jangwani, hatuna sababu ya kuendelea kuwaombea mabaya Simba SC kwa jinsi walivyochoka.

Tumuachie Masao Bwire aendelee kuwachachafya kwa maneno, jana alisema 'tuanaenda kunywa maji katika dimbwi (Simba SC) lenye vyura wengi (mashabiki wa Simba SC) wanaopiga kelele, hata hivyo kelele zao hazituzuii kuyanywa maji hayo (kuifunga Simba SC)'. Jamaa ana kipaji cha kurusha madongo.

Wapigwe tu mikia by prime minister

Poa Mkuu na watu wote waseme amina.

Ameeeeeeeeeeeeeeeee1eeeeeee 0 eeeeeeeeeeen

Wapigwe mikia!!

Coastal nao wapigwe tu

Ruvu Shooting mkawe kichwa, Simba wawe mkia.

Rudini mtupe matokeo.
 
Back
Top Bottom