VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya Rais wa Simba Evans Aveva kuagiza benchi la ufundi kuakikisha wanashinda mechi zote zilizobakia , maagizo haya yanaanza kufanyiwa kazi leo baada ya vijana wa msimbazi kuahidi soka safi na ushindi mnono dhidi ya vijana wa Masau bwire, simba itaongozwa na vijana wake hatari, emanuel okwi, ibrahim ajibu, na ramadhani singano.
Azam fc itakuwa jijini tanga kwenye uwanja wa mkwakwani kutafuta points 3 muhimu ili kuzidi kuifukuzia yanga yenye points 37 uku wao wakiwa na points 33, mechi inatarajiwa kuwa kali na ya kusisimua.
Mechi zote zitaanza mida ya saa 10 kamili jioni.

=======================
=======================

Matokeo ya Mwisho:

Coastal Union 0 - 1 Azam

Simba 3 - 0 JKT Ruvu

Baada ya Rais wa Simba Evans Aveva kuagiza benchi la ufundi kuakikisha wanashinda mechi zote zilizobakia , maagizo haya yanaanza kufanyiwa kazi leo baada ya vijana wa msimbazi kuahidi soka safi na ushindi mnono dhidi ya vijana wa Masau bwire, simba itaongozwa na vijana wake hatari, emanuel okwi, ibrahim ajibu, na ramadhani singano.
Azam fc itakuwa jijini tanga kwenye uwanja wa mkwakwani kutafuta points 3 muhimu ili kuzidi kuifukuzia yanga yenye points 37 uku wao wakiwa na points 33, mechi inatarajiwa kuwa kali na ya kusisimua.
Mechi zote zitaanza mida ya saa 10 kamili jioni.
Hao vijana hatar hawakuwepo pale Tanga wakati simba inapokea kichapo dhidi ya Mgambo?!!
Kila la kheir Ruvu shooting.
 
Simba 0-1 Ruvu shooting, Costal union 2-1 Azam fc...mawazo yangu nawasilisha
 
Baada ya dakika 90, Matokeo yatakuwa Simba 0, Ruvu shooting 1
Maumivu msimbazi.
 
Simba 0 - Ruvu 1,Azam 1 - Coastal 1
Mungu muumba wa kila kitu naomba uyapokee haya maombi yetu wanajangwani..
Tunaomba hivi simba ifungwe leo goli moja tu linatosha.
 
Baada ya dakika 90, Matokeo yatakuwa Simba 0, Ruvu shooting 1
Maumivu msimbazi.

Wakuu mashabiki wa Jangwani, hatuna sababu ya kuendelea kuwaombea mabaya Simba SC kwa jinsi walivyochoka.

Tumuachie Masao Bwire aendelee kuwachachafya kwa maneno, jana alisema 'tuanaenda kunywa maji katika dimbwi (Simba SC) lenye vyura wengi (mashabiki wa Simba SC) wanaopiga kelele, hata hivyo kelele zao hazituzuii kuyanywa maji hayo (kuifunga Simba SC)'. Jamaa ana kipaji cha kurusha madongo.
 
Mungu muumba wa kila kitu naomba uyapokee haya maombi yetu wanajangwani..
Tunaomba hivi simba ifungwe leo goli moja tu linatosha.

Ameeeeeeeeeeeeeeeee1eeeeeee 0 eeeeeeeeeeen
 
Back
Top Bottom