grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Kweli yanga hamnazo mnafungwa 5-0, 3-1, 2-0, kwa miaka mitatu mfululizo, mnaongoza bao 3 mpaka half time, kutokana na litimu lenu kuwa dhaifu mpaka muhonge ndio lishinde zinarudi zote bado mnasema Adobe Photoshop! Kateni rufaa TFF basi maana mmefungwa kwa Adobe Photoshop na sio Soka la dimbani.kazi kucheza na Adobe Photoshop. Sawa waliifunga Yanga tano lakini watasubiri kushiriki mashindano ya CAF kwa miaka mitano.
