VPL: Simba VS Majimaji FC, Simba yairarua Majimaji bao 4-0 uwanja wa Taifa

Gooooooºal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], hata sikutegemea kukukuta huku
 
Asanteni [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] FC Kwa Kutusafishia Njia.. 😀 😀 😀

Man of The Match
Sante Kwasi
Kichuya
Muzamir
Kapombe
Boko
Okwi
Kwa Nilivyoangalia Mimi Mpira.
 
Man of The Match
Sante Kwasi
Kichuya
Muzamir
Kapombe
Boko
Okwi
Kwa Nilivyoangalia Mimi Mpira.
Chagua mmoja tu. Ndo Weledi wa Man of the Match. This is Simba
 
MI nipo Wakuu. Mtafuteni mwenzenu Sembo. Sijamwona humu kitambo. Najua anajua, it's not done until its done. Kaweka maneno ya akiba!
Sembo anakunywa juice tu. Hakuna shida mkuu

Tukutane round namba mbili, hongera kwa kazi zuri ya jana kuhakikisha tunakaa kileleni bila bughudha
 
Sembo anakunywa juice tu. Hakuna shida mkuu

Tukutane round namba mbili, hongera kwa kazi zuri ya jana kuhakikisha tunakaa kileleni bila bughudha
Matunda ya jana tutayaona mbele ya safari Mkuu.
 
Msipochukua ubingwa mwaka huu simba mkaombewe na nabii Tito
Ubingwa mwaka huu ni lazima mkuu. Huoni hata Yanga wameamua kutusafishia njia.

Kwa matokea ya Yanga na Azam hakuna tena timu ya kukaimu No 1 kwa masaa.
 
Chagua mmoja tu. Ndo Weledi wa Man of the Match. This is Simba
Nimeshindwa Chagua Mmoja Ndomana Nikawaweka Wote Ao, Kwangu Mimi Ao Ndo Nimeona Waloifanya Simba Leo Kuibuka Kidedea Japo Wachezaji Wote Walicheza Vizuri Na Kushirikiana.

Ila Masoud Simba Inabidi Wamfanyie Kitu Uyu Mtu.
 
Man of the Match ni John Bocco Adebayor

Kafunga goli mbili. Katoa Assint moja nzuri kwa Okwi na kuandika goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…