Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sibonike aje nae huku.Afuatane na mkuu Sibonike .. Jana walifanya kazi nzuri kuhakikisha Mnyama anakaa kileleni bila bughudha.
Simba chuo cha soka. Mnamtaka nani sasa Okwi ama Bocco?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], hata sikutegemea kukukuta hukuGooooooºal
Tabiri na Biko uchukue 20 milionTutafunga 4G kama kawa
Nilipapenda Hapa Jinsi Walivyolifurahia Hili Goli kama Sikosehi lilikuwa La NNE Aloshinda Okwi
Sembo anakunywa juice tu. Hakuna shida mkuuMI nipo Wakuu. Mtafuteni mwenzenu Sembo. Sijamwona humu kitambo. Najua anajua, it's not done until its done. Kaweka maneno ya akiba!
Matunda ya jana tutayaona mbele ya safari Mkuu.Sembo anakunywa juice tu. Hakuna shida mkuu
Tukutane round namba mbili, hongera kwa kazi zuri ya jana kuhakikisha tunakaa kileleni bila bughudha
Ubingwa mwaka huu ni lazima mkuu. Huoni hata Yanga wameamua kutusafishia njia.Msipochukua ubingwa mwaka huu simba mkaombewe na nabii Tito
Nimeshindwa Chagua Mmoja Ndomana Nikawaweka Wote Ao, Kwangu Mimi Ao Ndo Nimeona Waloifanya Simba Leo Kuibuka Kidedea Japo Wachezaji Wote Walicheza Vizuri Na Kushirikiana.Chagua mmoja tu. Ndo Weledi wa Man of the Match. This is Simba
Man of the Match ni John Bocco AdebayorNimeshindwa Chagua Mmoja Ndomana Nikawaweka Wote Ao, Kwangu Mimi Ao Ndo Nimeona Waloifanya Simba Leo Kuibuka Kidedea Japo Wachezaji Wote Walicheza Vizuri Na Kushirikiana.
Ila Masoud Simba Inabidi Wamfanyie Kitu Uyu Mtu.