Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Kafanya Vizuri Leo..Man of the Match ni John Bocco Adebayor
Kafunga goli mbili. Katoa Assint moja nzuri kwa Okwi na kuandika goli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanya Vizuri Leo..Man of the Match ni John Bocco Adebayor
Kafunga goli mbili. Katoa Assint moja nzuri kwa Okwi na kuandika goli.
Magoli aliyofungwa kipa wa Azam jana?Hukumuona Juma Kaseja alivyokuwa na furaha akiwa na Manara baada ya pambano, inhekuwa Ulaya Kaseja angesugua sana benchi
Yaani Nikuwa Pale Uwanjani Masoud Akukukaa Kwenye Kiti Mpaka Mpira Unaisha.Muda Wote Anawapa Maelekezo Vijana Wake ..Omog Huko Aliko Lazima Ajitafakari Upya Mbinu Zake....
Massoud Djuma hongera aisee! Mzungu lazima Afate System Yako tu ya Mfumo ulioujenga.
Kuna harmony ktk timu, hamna makundi.Nilipapenda Hapa Jinsi Walivyolifurahia Hili Goli kama Sikosehi lilikuwa La NNE Aloshinda Okwi
Kwa kweli timu inaonekana ina amani, wachezaji wote.Yaani Nikuwa Pale Uwanjani Masoud Akukukaa Kwenye Kiti Mpaka Mpira Unaisha.Muda Wote Anawapa Maelekezo Vijana Wake ..
Na Yupo Karibu Sana Na Wachezeji Naona Kabisa Ile Connection Na Wachezaji Safi Yake Sana.
Mi Nimempenda Bure Yale Magori Ya Leo Nilitamani Kama Nikamuhug Yeye.
Nyuma ya pazia katika mpira w Tanzania ukifunuliwa utashangaa sana mambo yanayifanyika. Mechi ya Yanga na Majimaji usiku was mkesha makomandoo was Yanga wakizuiwa kwenda kumwaga ndumba usiku was manane uwanja wa Majimaji zikapigwa ngumi mpaka ffu wakapelekwaMagoli aliyofungwa kipa wa Azam jana?
Labda kama biko sports nawezq tia mkeka ila sio huo upuuzi wa mshiko nje nje wa kulipia buku kwa kitu usichojua matokeo yakeTabiri na Biko uchukue 20 milion
Naona hata mzungu ni kutumalizia hela tu,Djuma atosha kweliYaani Nikuwa Pale Uwanjani Masoud Akukukaa Kwenye Kiti Mpaka Mpira Unaisha.Muda Wote Anawapa Maelekezo Vijana Wake ..
Na Yupo Karibu Sana Na Wachezeji Naona Kabisa Ile Connection Na Wachezaji Safi Yake Sana.
Mi Nimempenda Bure Yale Magori Ya Leo Nilitamani Kama Nikamuhug Yeye.
Unasema shabiki,naona unanitajaOkwi tenaaaaa goooooooo.....
Jamani baby wa Okwi wapi?
Alafu Okwi na Bocco wanaonekana wamekuwa marafiki wa karibu sana.
Tulipo wasajili John Bocco na Shomari Kapombe baadhi walibeza mno usajili huo. Ila sasa yamkini wanaelewa
Kabisaa Nikaona Baada ya Mechi kuisha Tegete Alimsubiri Okwi Wakatoka Wote Uwanjani Uku Wakipeana Kumbato La Aja.Alafu Okwi na Bocco wanaonekana wamekuwa marafiki wa karibu sana.
Hii Ya Uwanjani Jana Kuna Muda Bocco alikosa Goli Yeye Na Kipa Akapaisha Kuna Watu walikaa nyuma yangu Izo Lawama Walizompa Bocco Baada ya Kufunga la kwanza na La pili Nikaona Wanabadirisha Maneno. Na Ile pasi Alompa Okwi Nikaona Wanaimba Kabisa Bocco Bocco...Ikabidi Niwacheke TuuhUkweli Ni Kwamba Baada Ya Kuwasajili Hawa Mashabiki Wa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kwa hule wivu wao tu Wakaanza Kasumba kama Walivyoanza Kwa Okwi Kumwita Mzee..
Na Bahati Mbaya Kuna Wale Washabiki Wa Simba Wanaoangalia Mpira [HASHTAG]#JamiiForum[/HASHTAG] badala Ya [HASHTAG]#Uwanjani[/HASHTAG] au Kwenye [HASHTAG]#Television[/HASHTAG] Wakaanza Kusikiliza Propaganda Za Ndala na Kuanza Kuleta Dharau Juu Ya Bocco na Kapombe.
Hakuna jambo la ajabu kumfunga majimaji Taifa... Ngoja uende kwao ukiwa unahitaji ushindi kwa udi na uvumba huku Yanga anakupumulia kwa point moja na mechi moja mkononi.