VPL standing

Ligi ni ngumu maximum point mpaka mwisho wa ligi ni 64 kama yanga au azam itashinda mechi zote zilizobaki,,,,,naona bingwa ataishia point 50 na kitu hivi,,,timu zimebanana sana


Kweli mkuu, tofauti kati ya timu inaoongoza ligi na ya mwisho ni point 14 wakati bado kucheza karibia nusu ya mechi zote kwa kila timu. Angalia Mbeya akishinda mechi moja tu na Polisi Moro ambae ni watatu akipoteza tayari watalingana kwa point. Ushindani mkali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…