Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Kila la heri Simba sports club, Azam na Yanga toeni draw.
Yanga kwa uchezaji huu hawachomoki
Hata wakitoa draw sharubu haongozi ligi
Hawa Mbeya City watageuka kuwa Simba Veteran; wana Juma Kaseja, Juma Nyosso, Haruna Shamte na Haruna Moshi Boban.