VPL: Super Saturday 17/10/2015

VPL: Super Saturday 17/10/2015

Kila la heri Simba sports club, Azam na Yanga toeni draw.
 
Azam wanataka kufanya mabadiliko. Said morad na ramadhan singano wanapasha
 
Hawa Mbeya City watageuka kuwa Simba Veteran; wana Juma Kaseja, Juma Nyosso, Haruna Shamte na Haruna Moshi Boban.
 
Back
Top Bottom