VPL: Super Saturday 17/10/2015

Inaonekana mlikuwa mnawatumia sana kwa Tigo Pesa wakati wanaichezea Simba.

Angalia historia na kafungue makabrasha ya TFF utajua timu iliyopigwa faini kwa kosa hilo Plus na Uchawi, utapata jibu
 
Angalia historia na kafungue makabrasha ya TFF utajua timu iliyopigwa faini kwa kosa hilo Plus na Uchawi

Mimi nimeandika kwa sababu ulisema ni wazee wa Tigo pesa, kwa hiyo logically hata walipokuwa Simba walikuwa ni wazee wa Tigo pesa, vinginevyo ukanushe kwamba si wazee wa Tigo pesa na ikitokea wamefungwa watakuwa wamefungwa kimchezo.
 
Watu weraaaaaaaa

Dk 47 Ngoma anaipatia Yanga goli la kuongoza

Na mpira ni HT

Yanga 1 - 0 Azam
 
Yanga wanazingua... Pigeni hao fisi..
 
Mimi nimeandika kwa sababu ulisema ni wazee wa Tigo pesa, kwa hiyo logically hata walipokuwa Simba walikuwa ni wazee wa Tigo pesa, vinginevyo ukanushe kwamba si wazee wa Tigo pesa na ikitokea wamefungwa watakuwa wamefungwa kimchezo.

Sharubu akishinda atakuwa kahonga tuu. Na leo shost yake tushamfanya kinyago cha ngoma ya Kigodoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…